Home » , » KIKAO CHA KAMATI MAALUM CHA CCM ZANZIBAR CHAPITISHA JINA LA DK. ALI MOHAMED SHEIN KUWA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR.

KIKAO CHA KAMATI MAALUM CHA CCM ZANZIBAR CHAPITISHA JINA LA DK. ALI MOHAMED SHEIN KUWA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR.

Written By mahamoud on Sunday, 5 July 2015 | 05:35

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kupitisha Jina la Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM. 


NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali, akitoa maelezo ya kikao hicho cha Kamati Maalumu ya CCM Zanzibar.  
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe Kamati Maalum ya CCM Zanzibar baada ya kupitisha Jina lake kuwa  Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.
Share this article :

Post a Comment




 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech