Home » , » WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AREJESHA FOMU ZA KUWANIA UTEUZI WA CCM WA KUGOMBEA URAIS

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AREJESHA FOMU ZA KUWANIA UTEUZI WA CCM WA KUGOMBEA URAIS

Written By mahamoud on Wednesday, 1 July 2015 | 05:57

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhavi fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini DOdoma Juni 30, 2015.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizunguza na waandishi wa habari  baada ya kurejesha fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini DOdoma Juni 30, 2015.Wapili kulia ni mkewe Tunu na kulia ni mjukuu, michele.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech