Home » , » RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWAFUTURISHA WATOTO YATIMA

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWAFUTURISHA WATOTO YATIMA

Written By mahamoud on Tuesday, 30 June 2015 | 01:53

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu-Juni 29, 2015.
picha na Freddy Maro  

Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech