Home »
Kitaifa
,
news
» LOWASSA ASHIRII JUBILEE YA MIAKA 50 YA SEMINARI YA MTAKATIFU KALOLI LWAHANGA, HUKO NGARA
 |
Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (wapili kushoto), akiwa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemuguzi baada ya kuzindua jiwe la msingi kuashiria maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50, Seminari ya Mtakatifu Kaloli Lwahanga Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Jumamosi Juni 6, 2015 |
 |
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa, akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Severine Niwemuguzi, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Biharamulo Mkoani Kagera kwa ajili ya kusherekea Miaka 50 ya Seminari ya Katote |
 |
Lowassa, akiwasha kompyuta baada y kuzindua chumba cha mafunzo ya Kompyuta katikaKuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 Seminari ya Mtakatifu Kaloli Lwahanga Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara mkoani KageraJumamosi Juni 6, 2015. Kushoto ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Severine Niwemuguzi |
Post a Comment