Home » , » HUYU NDIO MWANAMKE ALIYETANGAZA KUWA, MWANAUME ATAKAE MUOA ATAMPATIA NYUMBA NA GARI

HUYU NDIO MWANAMKE ALIYETANGAZA KUWA, MWANAUME ATAKAE MUOA ATAMPATIA NYUMBA NA GARI

Written By mahamoud on Thursday, 18 June 2015 | 12:30

Zainabu Abdulmalik

Mwanamke mmoja nchini Nigeria ametangaza kupitia redio kuwa anatafuta mume, akisema atampa gari na nyumba. Mamia ya wanaume walifurika kituo cha radio cha Freedom, mjini Kano ambapo polisi walilazimika kuitwa kutuliza watu. Msichana huyo, Zainab Abdulmalik, 22, amesema alikuwa amekasirishwa mno na 'boyfriend' wake wa zamani. Mtangazaji wa redio - Nasiru Zango- ameiambia BBC kuwa Zainab alichagua mchumba kutoka katika mlolongo mrefu wa wanaume waliokuwa wamejipanga nje ya kituo cha redio na kuondoka.
                           Source Salum Kikeke wa BBC Swahil.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech