Home » , » WAFANYABIASHARA WALEMAVU WAFUNGA BARABARA KWA SAA SITA KUPINGA KUBOMOLEWA VIBANDA VYAO NA MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM

WAFANYABIASHARA WALEMAVU WAFUNGA BARABARA KWA SAA SITA KUPINGA KUBOMOLEWA VIBANDA VYAO NA MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM

Written By mahamoud on Thursday, 21 May 2015 | 09:23

 Wafanyabiashara walemavu wakiwa wamekaa katikati ya makutano ya barabara za Uhuru na Kawawa na kufunga barabara hiyo wakipinga kubomolewa vibanda vyao na Halmshauri ya Manispaa ya Ilala Dar es Salaam leo mchana. Halmshauri hiyo ilivunja vibanda hivyo kupisha upanuzi wa barabara.
 Wananchi wakiwa eneo la tukio wakiwangalia wafanyabiashara hao walemavu walivyofunga barabara hizo.

Maofisa wa Jeshi la Polisi wakifika eneo la tukio kupata suluhisho.
 Wafanyabiashara hao wakiwa wamekaa mbele ya malori wakizuia yasipite mpaka kieleweke.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akiwaeleza wafanyabiashara hao maafikiano yaliyofikiwa na viongozi wao.
 Mmoja wa Wafanyabiashara hao akizungumza kwa hisia kali katika tukio hilo.
Baadhi ya utingo na vijana wakiwa wamekaa juu ya magari yao wakati wa sakata hilo.  (Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/)
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech