Home »
Kitaifa
,
news
» MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CHADEMA ,JAFARY MICHAEL AFUNGUA MATAWI MAPYA MOSHI
 |
| Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema na meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi katika kata ya Longuo mjini Moshi. |
 |
| Ofisi mpya ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kata ya Longuo B . |
 |
| Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema taifa na meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael akikata utepe kufungua ofisi mpya ya kata ya Longuo B. |
 |
| Meya Michael akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kufungua ofisi ya kata ya Chadema. |
 |
| Katibu wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro Basil Lema akitia saini katika kitabu cha wageni wakati wa ufunguzi wa ofisi ya kata ya Longuo B. |
 |
| Diwani wa kata ya Longuo B,Ray Mboya akitia saini katika kitabu hicho. |
 |
| Baadhi ya makada wa Chadema manispaa ya Moshi wakishuhudia zoezi hilo. |
 |
Ofisi mpya ya Chadema kata ya, Longuo manispaa ya Moshi ikafunguliwa rasmi.
Na Dixon Busagaga wa globu ya Jamii kanda ya Kasakazini. |
Post a Comment