Home » , » WADAU TOKA NEW YORK KATIKA MOJA VIPINDI WAKIPINGA MAUWAJI YA ALBINO.

WADAU TOKA NEW YORK KATIKA MOJA VIPINDI WAKIPINGA MAUWAJI YA ALBINO.

Written By mahamoud on Friday, 13 March 2015 | 03:28

Wadau wa North Carolina wakiwa kwenye kipindi kilichopata kurekodiwa.

Timu ya Vijimambo ikishiriana na Kwanza Production inapenda kwanza kutoa pongezi kwa Watanzania Houston kwa jitihada zao za kupambana na mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi Pia inaandaa kipindi cha video kuongelea hili swala kwa mapana zaidi na kuangalia jinsi gani ya kukomesha mauaji haya ambayo yanaleta fedheha na aibu  ikiwemo ukiukaji wa haki za binadamu.

Kipindi kitarekodiwa siku ya Jumampili saa 8 mchana (2pm) mahali ni Extended Stay America chumba namba 224 anuani ni 2424 West Sam Houston Prkway, Houston, TX 77042. 

Kwa maelezo zaidi wasiana na 301 335 6383 asante

Ujumbe kutoka kwa ndugu zetu hapo chini.


Kuwalinda Albino ni jukumu letu sote.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech