Home » , » HOSPITALI YA MT. MERUMISAADA APATA MSAADA WA MASHUKA,

HOSPITALI YA MT. MERUMISAADA APATA MSAADA WA MASHUKA,

Written By mahamoud on Tuesday, 31 March 2015 | 08:02

Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group ,Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha,Mt Meru,Sifael Masawe jana kikundi hicho kilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa hospitalini hapo,jumla ya mashuka 300 na maji katoni 10 zenye thamani ya zaidi ya sh,2 milioni zilikabidhiwa ,anayeshuhudia pembeni ni makamu mwenyekiti wa kikundi hicho,Jasmine Kiure.
picha na mahmoud ahmad)

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech