Home » , » VAZI LA LULU LAZUA MJADALA MZITO INSTAGRAM

VAZI LA LULU LAZUA MJADALA MZITO INSTAGRAM

Written By mahamoud on Wednesday, 4 February 2015 | 04:50

Picha ya Lulu aliyotupia Instagram leo.
KIVAZI alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram. Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee ametupia picha hiyo muda mfupi uliopita katika akaunti yake ya Instagram ambapo  ametupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.
Baadhi ya mashabiki wake walihoji kulikoni baada ya kuona dizaini kama tumbo limeongezaeka wakiuliza kama ana mimba au la japo wengi wao wamemsifia mrembo huyo kwa katokelezea.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech