Home » , » NGULI WA MUSIC WA KIZAZI KIPYA NCHINI, LADY JAY DEE ANAWAKARIBISHA KTK SHOW YA NGUVU SIKU YA IJUMAA TAR 30. 01. 2015.

NGULI WA MUSIC WA KIZAZI KIPYA NCHINI, LADY JAY DEE ANAWAKARIBISHA KTK SHOW YA NGUVU SIKU YA IJUMAA TAR 30. 01. 2015.

Written By mahamoud on Monday, 26 January 2015 | 08:10

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya  watapata burudani ya nguvu kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Lady Jay Dee. Burudani hiyo  itakuwa weekend shii ya  siku ya Ijumaa ya tarehe 30. 01.2015, katika viwanja vya Nyumbani Lounge kwa kiingilio cha sh. elfu 10000 tu jijini Dar es Salaam.


Share this article :

+ comments + 1 comments

26 January 2015 at 08:54

Watanzania tujitokeze kwa wingi tumpoe ushirikino

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech