Home » , » WASHIRIKI PRESHA JUU IJUMAA SEXIEST BCHELOR

WASHIRIKI PRESHA JUU IJUMAA SEXIEST BCHELOR

Written By mahamoud on Friday, 19 December 2014 | 03:34

PRESHA inazidi kupanda kwa washiriki waliobaki katika tatu bora huku kila mmoja akitaka kuonekana kuwa anafaa kuwa Ijumaa Sexiest Bchelor.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' (ISB 01) .
Washiriki watatu (pichani) ndiyo walioingia fainali ambapo kilele kitakuwa ni Desemba 25, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar mshindi atapatikana.

Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba (ISB 08).
Ili kumpigia kura staa unayemtaka awe mshindi fanya hivi; Fungua uwanja wa sms kwenye simu yako, andika neno ISB acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki huyo halafu tuma kwenda namba 15573. Mfano, ISB 00 kisha unatuma kwenda namba15573.
                                Modo wa filamu za Bongo Yusufu Mlela (ISB 22).
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech