Home » , » RAIS KIKWETE ATOKA HOSPITALINI BAADA YA KUPATA NAFUU

RAIS KIKWETE ATOKA HOSPITALINI BAADA YA KUPATA NAFUU

Written By mahamoud on Thursday, 13 November 2014 | 07:20

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka
Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Daktari Edward Schaeffer muda mfupi baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore, Maryland nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.(picha na Freddy Maro).
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech