Home » , » PICHA MBALI MBALI KATIKA ZA MECHEI YA SIMBA NA YANGA UWANJA WA TAIFA JANA TAR 18.10.2014

PICHA MBALI MBALI KATIKA ZA MECHEI YA SIMBA NA YANGA UWANJA WA TAIFA JANA TAR 18.10.2014

Written By mahamoud on Sunday, 19 October 2014 | 00:04

Kiungo wa timu ya Simba,Amri Kiemba akuchuana vikali na Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Andrey Coutinho wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
 
 
 
                                             PICHA ZOTE NA KWA HISANI YA OTHMAN MICHUZI.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech