skip to main
|
skip to sidebar
Home
Home
Habari za Kitaifa
Habari za kimataifa
Habari za Kingereza
Makala
Mapishi
Teknolojia
Afya
Michezo
Home
»
Kitaifa
,
news
» RAIS KIKWETE AKUTANA NA BIBI YAKE RAIS OBAMA WA MAREKANI,JIJINI NAIROBI
RAIS KIKWETE AKUTANA NA BIBI YAKE RAIS OBAMA WA MAREKANI,JIJINI NAIROBI
Written By mahamoud on Wednesday, 3 September 2014 | 14:10
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama, Mama Sarah Obama walipokutana Leo tarehe 03.09,2014 kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi-Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini. Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya, alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. PICHA NA IKULU
Share this article
:
Post a Comment
« Prev Post
Next Post »
Home
Habarika 24
Support :
Copyright © 2015.
Habarika 24 Dev
- All Rights Reserved
Customized by
Bongotech
Post a Comment