Home » , » DK.SHEIN NA MARAIS MBALI MBALI KATIKA UZINDUZI WA MPAMGO WA WIOCC SAMOA.

DK.SHEIN NA MARAIS MBALI MBALI KATIKA UZINDUZI WA MPAMGO WA WIOCC SAMOA.

Written By mahamoud on Thursday, 4 September 2014 | 01:58

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Mambo ya nje ya nchi wa Seychels Jeun-Paul Adam baada ya Waziri huyo kutoa hotuba yake katika Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani namabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake katika Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa   ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa  Nchi za Visiwa unaendelea.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma  Abdulhabib Fereji,pamoja na viongozi wengine wakiwa katika  Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea.


Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech