Home » , » AJALI NYINGINE MBAYA YA MABASI YATOKEA GAIRO MOROGORO.

AJALI NYINGINE MBAYA YA MABASI YATOKEA GAIRO MOROGORO.

Written By mahamoud on Monday, 8 September 2014 | 11:08

 Habari  kutoka Mkoani Morogoro zinasema kuwa basi la Kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Tabora limepata ajali muda si mrefu eneo la Kiegeya Wilayani Gairo Mkoani Morogoro.
Habari zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Faustine Shilogile ameiambia Father Kidevu Blog kuwa ni kweli kuna ajali nae yupo eneo la tukio.
“Ninaomba unitafute baade kidogo kwa taarifa kamili kwa sasa nipo eneo la ajali huku Gairo,” alisema SACP Shilogile.
tunafuatilia zaidi kuhusiana na  tukio hilo ambalo linaelezwa kugharimu uhai wa watu zaidi 10

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech