Written By mahamoud on Wednesday, 13 August 2014 | 15:40
Moto mkubwa umezuka katika msikiti wa Mtambani (uliopo Kinondoni, Dar) na kuteketeza sehemu ya juu ya msikiti huo ambayo hutumiwa kama hosteli ya wanafunzi wa Seminari ya Kiislamu ya Mvumoni iliyokuwa kwenye jengo la msikiti huo.
Post a Comment