MAPENZI HAYANA MACHO, DADA WA KIHINDI AHAMIA KWA MUAFRIKA MASIKIN.
Written By mahamoud on Saturday, 2 August 2014 | 17:52
Mapenzi hayana mipaka ya dini, rangi au hata ukwasi. Kauli hii imejitokeza wazi katika kijiji cha Nangina huko Webuye, ambapo wapenzi 2 wamewashangaza wengi kwa kuwa na uhusiano wa aina yake. Sarika Patel mwenye asili ya kihindi amempenda mpenzi wake wa miaka 4 Timothy Khamala ambaye ni mbukusu.







Post a Comment