Home » , » AJALI MBAYA YA MABASI YA AU ABIRIA WASIO PUNGUA 16 WAKIWEMO MADEREVA WOTE 2.

AJALI MBAYA YA MABASI YA AU ABIRIA WASIO PUNGUA 16 WAKIWEMO MADEREVA WOTE 2.

Written By mahamoud on Tuesday, 19 August 2014 | 11:03

Wananchi wakiangalia mabasi hayo jinsi yalivyo gongana, na kusababisha maafa.

Na Mwandishi wetu.

 Mabasi ya Sabena na Dream line yagogana uso kwa uso maeneo ya Mkolye wilayani Sikonge mkoani Tabora leo tarehe 19.08.2014 jioni hii. Inasemekana abiria 70 ni wamejeruhiwa na abiria 16 wakiwemo madereva wa mabasi yote mawili wamefariki Dunia.
                           .Baadhi ya abiria waliokua wakisafiri wakiwa tayari wameshapoteza maisha.
                   Pichani ni mashuhuda wa ajali hiyo mbaya wakishangaa jinsi mabasi hayo yalivyo gongana.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech