MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgo ...

Read more »

 Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi ya Maendeleo Mkoa wa Morogoro, James Mbaligwe. Mkurugenzi Msaidizi wa Suky Classic Boutique, Kiki Mussa.  Meneja Uhusiano na Mawasiliano ...

Read more »

Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania Ndg Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. kwa ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ik ...

Read more »

Mgeni raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2--0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmojaMgeni raism wa ...

Read more »

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini ,IGP Ernest Mangu akikagua gwaride lililo andaliwa kwa ajili yake  wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Pwani .IGP alikuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo ...

Read more »

 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu kongam ...

Read more »

Fainali ya Kombe la Copa America 2015 tayari imepangwa baina ya wenyeji Chile dhidi ya Argentina ambao wanapewa kipaumbele kuibuka kidedea!Fainali ya Kombe la Copa America 2015 tayari imepa ...

Read more »

Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha na Mbunge wa Africa Mashariki  Mh.Bernard Murunya amabye alikuwa mgeni rasmi katika tukio la kukabidhi pikipiki,akimkabidhi moja ya Pikipiki kwa ka ...

Read more »
Latest Post

KIKAO CHA KAMATI MAALUM CHA CCM ZANZIBAR CHAPITISHA JINA LA DK. ALI MOHAMED SHEIN KUWA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR.

Written By mahamoud on Sunday, 5 July 2015 | 05:35

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kupitisha Jina la Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM. 


NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali, akitoa maelezo ya kikao hicho cha Kamati Maalumu ya CCM Zanzibar.  
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe Kamati Maalum ya CCM Zanzibar baada ya kupitisha Jina lake kuwa  Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.

SUKY CLASSIC BOUTIQUE YAINGIA MKATABA NA MEDO KUSAIDIA UTOAJI WA ELIMU MKOANI MOROGORO

 Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi ya Maendeleo Mkoa wa Morogoro, James Mbaligwe.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Suky Classic Boutique, Kiki Mussa.
  Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi ya Maendeleo Mkoa wa Morogoro, James Mbaligwe, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mkataba huo walioingia na Suky Classic Boutique wa kusaidia elimu nchini
  Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi ya Maendeleo Mkoa wa Morogoro, James Mbaligwe na  Mkurugenzi Msaidizi wa Suky Classic Boutique, Kiki Mussa wakipeana mkono huku wakifurahi baada ya kuzungumza na wanahabari kuhusu jambo hilo la kusaidia changamoto za elimu kwa watoto wa kike.
Mkutano na wanahabari ukiendelea.

Na Dotto Mwaibale

TAASISI ya Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Morogoro (Medo), imepata udhamini wa asiliamia tano kutoka duka la nguo za kisasa la Suky Classic la Kinondoni Manyanya jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa duka hilo Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi Msaidizi wa  duka hilo, Kiki Juma alisema waliguswa na mradi huo wenye lengo la kusaidia mahitaji ya watoto hao ili wapate elimu.

"Tunapenda kuwasapoti watoto hawa waliochini ya mradi 
unaoendeshwa na Medo kwa kuwasaidia mahitaji muhimu kama peni. daftari, sare za shule na mahitaji mengine" alisema Juma.

Meneja Uhusiano na Mawasiliano  wa Taasisi ya Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Morogoro, James Mbuligwe alisema msaada huo umetolewa wakati muafaka ukizingatia ni msimu wa kufungua shule ambapo watoto hao waliochini ya mradi wanamahitaji mengi.

"Kwasasa taasisi yetu imezindua kampeni maalumu ya 'Nisaidie 500 Yatosha kunipa elimu ambapo balozi wa mradi huo ni Msanii Wastara Sajuki" alisema Mbuligwe.

Alisema wasanii na watu maarufu mbalimbali wameguswa kusaidia mradi huo ambapo Linah Sanga amejitolea kuandaa chakula cha hisani baada ya mfungo wa ramadhani kwa lengo la kuchangisha fedha za kusaidia watoto walio ndani na nje ya mradi kujengewa kituo cha elimu mkoani Morogoro.

Alisema msanii Kajala Masanja, Mshereheshaji Pilipili na mshindi wa Big Brother Afrika kwa umoja wao wamejitolea kusaidia watoto hao kwa kuchangisha fedha kupitia mitandao yao ya kijamii kwa ajili ya kusaidia mradi huo.

Mbuligwe alitumia fursa hiyo kuwaomba watanzania popote walipo kuusaidia mradi huo ili uweze kuwafikia watoto wengi zaidi kote nchini.(Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

DIAMOND TRUST BANK (DTB) YAFUTARISHA WATEJA WAO ZANZIABAR

Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania Ndg Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. kwa ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa Benki hiyo kujumuika na Wateja wao katika futari maalumu.
Mgeni rasmin na viongozi wengini na wananchi wakipata futari maalumu ilioandaliwa na DTB Tawi la Zanzibar kwa wateja wao kujumuika pamoja iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya serena shangani Zanzibar.
Meneja wa Tawi la Benki ya DTB Ndg Othman Juhudi na Mwenyekiti wa Bodi ya DTB Mahboob Shamsi. 







Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania Ndg Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. kwa ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa Benki hiyo kujumuika na Wateja wao katika futari maalumu.
Meneja wa Diamond Trust Benk Tawi la Zanzibar Ndg Othman Juhudi akizungumza na Wateja wa DTB na Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya futari maalum walioandaliwa wateja wao katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Diamond Trust Mahboob Shamsi akitowa maelezo ya huduma za Benki yao kwa Watajea wao waliohudhuria hafla maalum ya futari waliowaandalia katika viwanja vya Hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. 
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmeid Mazrui akizungumza wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na Benki ya Diamond Trust Tawi la Zanzibar kwa ajili ya Wateja wake iliofanyika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Kadhi wa Wilaya ya Magharibi Othman Ame Chum, akisoma dua baada ya kumalizika hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wataje wake Tawi la Zanzibar iliofanyika katika hoteli ya serena Zanzibar. 
Meza Kuu ikiongozwa na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Diamond Trust, Mahboob Shamsi wakijumuika na Wateja wa DTB wakiitikia dua ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Magharibi Unguja Unguja Shekh. Othman Ame Chum.
Wananchi waliohudhuria hafla maalum ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wake Zanzibar wakiitikia dua baada ya hafla hiyo
Wananchi waliohudhuria hafla maalum ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wake Zanzibar wakiitikia dua baada ya hafla hiyo
Meneja wa DTB Tawi la Zanzibar akiwa na Mashekh wa Ofisi ya Kadhi Zanzibar baada ya hafla hiyo ya futari iliofanyika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. 
Meneja wa DTB Tawi la Zanzibar Othman Juhudi akiagana na Kadhi wa Wilaya ya Magharibi Unguja Shekh. Othma Ame Chum, baada ya kumalizika kwa huduma ya futari ilioandaliwa na Benki hiyo Zanzibar.
Wafanyakazi wa Benk ya DTB Tawa la Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wao baada ya kupata futari ilioandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya Wateja wake wa Zanzibar katika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.

BONAZA LA MASAUNI CUP LAFANYIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA USIKU, KILIMANI NA MKUNAZINI IMESHINDA 2–0

Mgeni raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2--0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja
Mgeni raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani  iliyokubali kipigo cha mabao 2--0.wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.
Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja 
Kikosi cha timu ya Mkunazini kinachotowa dozo katika michuano ya Bonaza Kombe la Masauni ambocho kimetowa dozi kwa timu ya Kilimani wakati wa mchezo wao wa pili wa Bonaza hilo ikiwa na pointi 4, baada ya kupotoka sare mchezo wao wa fungua dimba na timu ya Miembeni, Timu ya miembeni inaongoza kundi hilo ikiwa na poiti 7
Mchezaji wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wao wa Bonaza, uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja. timu ya Mkunazini imeshinda 2--0.
     Mchezaji wa timu ya Mkunazini akizuiya mpira kujiandaa kumpita mchezaji wa timu ya Kilimani.
Mchezaji wa Kilimani akijaribu kumpiga chenga mchezaji wa timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika uwanja wa Malindi Mnazi Mmoja timu ya Mkunazini imeshinda 2--0 
Mchezaji wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazi wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja, timu ya Mkunazini imeshinda 2--0.
Wapenzi wa mchezo wa Soka Zenj wakifuatilia Bonaza hilo linalofanyika viwabnja vya malindi mnazi mmoja 





Mchezaji wa timu ya Mkunazini akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazi wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja, timu ya Mkunazini imeshinda 2--0.

Kitaifa




Kimataifa

Michezo

See all posts

Makala

MAKALA YA ZIARA YA RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA KATIKA NCHI ZA FINLAND FINLAND NA SWEDEN.

Makala ya ziara ya Rais Jakaya Kikwete katika nchi za Finland na Sweden....

Read More »
Na Kibada Kibada –ArushaWAHADZABEImeelezwa kuwa mjibu wa tafiti mbalimbali zilizofa...
Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM.Kiongozi wa Chama cha Kisoshalisti kilichojulikana ...
Virusi vya HIV.Ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa miaka ya 1920 mjini Kinshasa, nchini J...
Sehemu za ndani ya mikoa ya Tanzania zikiwa kame. Watanzania wanalaani hali ya ...
uala la hivi karibuni la nchini Israel la kiusalama mitandao linaloweza kusomeka&nbs...

MTAZAMO WANGU KUHUSU DIAMOND NA WASANII WENGINE TANZANIA.

Diamond Platnumz akipokea tuzo.Diamondi ndiye msanii aliyeweza kuiwakilisha na kuita...

See all posts

Teknolojia

MAABARA YA MAFUNZO ITEMBEAYO YAZINDULIWA RASMI KUANZA KAZI

Mganga Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa jamiii, Dk. Magreth Mhando akisoma hotuba ya uzinduzi wa maabara itembeayo kwa ajili ya mafunzo ya upasuaji. Kulia ni Naibu Balozi wa Ireland nchini, Maire Mat...

Read More »
Katibu mkuu wa Wizara ya Sayansi Pro. Patrick Makungu  Md of Huawei Tanzania Bw...
KENYA YAZINDUA 'ATM' ZA MAJIWananchi wa Kenya wakichoto maji katika ATM....
Venue – ESRF Conference Hall Date - 1st-5th June 2015Course Objective:This cours...
Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele c...
 
Support : Copyright © 2015. Habarika 24 Dev - All Rights Reserved
Customized by Bongotech